Tuesday, December 25, 2012
WHO SAYS GAMBOSHI IS NOT FRIENDLY? MIGUEL SULEYMAN CAN CONFIRM
PICHA MBALIMBALI ZA GAMBOSHI: JUU: GAMBOSHI SQUARE INVYOONEKANA MCHANA. INAYOFUATA: RAMADHAN DISA WA BODI YA PAMBA NA MARAFIKI WA GAMBOSHI.( 3) MARAFIKI WA GAMBOSHI WAKIWA KIJIWE BARIDI (4)DUKA KUU LA KIJIJI CHA GAMBOSHI-ANGALIA MACHO YA HUYU MUUZAJI.(5) GAMBOSHI PLAZA NA MARAFIKI (6)MTOTO AKITOKA SHULENI WAO WANAIITA GAMBOSI.(7) PAMOJA NA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI GAMBOSHI (8) GARI LA NGOMBE KATIKA KIJIJI CHA NGULYATI LIKIWA NJIANI KUELEKEA GAMBOSHI.(9) KWA RAHA ZAKE JIBABA LIKIENDESHA BAISKELI HUKU LIKIMBEBA MWANAWE. VIJIJINI KUNA RAHA ZAKE KAMA AMBAVYO MWANDISHI WA THE CITIZEN NA MWANANCHI, MIGUEL SULEYMAN KATIKA ZIARA YAKE YA KIJIJI CHA WAJANJA CHA GAMBOSHI .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ANAYETAKA KWENDA GAMBOSHI APIGE SIMU NAMBA 0715314328 AU 0658376438 ATAPEKELEKWA HUKO NA KURUDISHWA SALAMA.HATA ANAYETAKA KUOWA AU KUOLEWA HUKO ASEME KWANI VIJANA WA GAMBOSHI WAMEPATA FEDHA NYINGI KUTOKANA NA MAUZO YA PAMBA.BAHATI MBAYA SANA NI KWAMBA KWA WALE WACHAMUNGU ITAKUWA TABU KIDOGO KWA SABABU HAKUNA KANISA WALA MSIKITI KIJIJINI GAMBOSHI.
ReplyDeleteBAADA YA XMASS KUNA UWEZEKANO WA KWENDA GAMBOSHI KUANGALIA NAMNA GANI WAKULIMA WA HUKO NA MAJIRANI WAO WA VIJIJI VYA IKUNGULYABASHASHI, LAGANGABILILI, BUDALABUJIGA,NGASAMO, DUTWA NA NGULYATI WANVYOSTAWISHA PAMBA KWA KUTUMIA MBEGU YA KISASA YA PAMBA INAYOZALISHWA NA KAMPUNI YA QUTON AMBAYO IMEJENGA KIWANDA CHA KISASA KATIKA KIJIJI CHA KASOLI, KAMA KM 35 KASKAZINI YA KIJIJI CHA GAMBOSHI
ReplyDelete